1 John 2:18

Onyo Dhidi Ya Wapinga Kristo

18 aWatoto wadogo, huu ni wakati wa mwisho! Kama mlivyosikia kwamba mpinga Kristo anakuja, hivyo basi wapinga Kristo wengi wamekwisha kuja. Kutokana na hili twajua kwamba huu ni wakati wa mwisho.
Copyright information for SwhNEN